IKITOKEA KUWA BABA MUISLAM NA MAMA MKRISTO.Na ikitokea baba mkristo mama mwisilam inakuwaje hapo
najua kuwa ndoa hyo haikufuata taratibu za ndoa ya kiislam na inaweza wekwa kwenye kapu la ndoa za kiimla (customary marriage)
Ndoa za namna hii, itaangaliwa mambo mbalimbali km vile
1: mode of life
2: walifunga ndoa ya aina gani (monogamous or polygamous)
Na mengine kadha wa kadha
Ila kwa mujibu wa sheria ya watoto ya mwaka 2009 (child act ya mwaka 2009) kifungu cha 5, ni kosa kwa mtu yeyote kumbagua mtoto kwa rangi, kabila.......... na hivyo kutokupewa au kutokupewa urithi ni sehemu ya ubaguzi na hvyo watoto wa nje wote wana haki sawa katika urithi.