Nimefuatilia kwa karibu repoti ya Haki za Binadamu iliyotolewa wiki liyopita na mienendo ya wanaharakati dani na nje ya nchi hasa mkutano wa mashoga na wabunge wiki hii. Tujiandae kuletwa sheria ya jinsia moja na kupitishwa ndani ya miaka 2 ijayo kama ile ya Ugaidi.Hilo ni agizo toka kwa Viranja wa dunia alilopewa mkuu wa kaya kwenye safari ya juzi huko majuu. Hamtaki MTAPIGWA TU!