Sheria ya ndoa za jinsia moja Tanzania

Sheria ya ndoa za jinsia moja Tanzania

emrema

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
268
Reaction score
42
Nimefuatilia kwa karibu repoti ya Haki za Binadamu iliyotolewa wiki liyopita na mienendo ya wanaharakati dani na nje ya nchi hasa mkutano wa mashoga na wabunge wiki hii. Tujiandae kuletwa sheria ya jinsia moja na kupitishwa ndani ya miaka 2 ijayo kama ile ya Ugaidi.Hilo ni agizo toka kwa Viranja wa dunia alilopewa mkuu wa kaya kwenye safari ya juzi huko majuu. Hamtaki MTAPIGWA TU!
 
Ikitokea hivyo hata mimi nitajiunga kuwa mwanaharakati kuipinga sheria hiyo, jamani Watanzania siyo kila kitu cha hawa weupe ni kizuri tusikubali kupelekwa huko.
 
ni wakati wa kupata akili.ni bora tukaishi kwa kubangaiza kulko kuwategemea alaf wanatunyanyasa kama mba,hapa wengne tupo tayari kuto pata soko la kwao tutapigika na tutatokelezea wao watatufata wenyewe.,si kubaliani na msemo wa kwamba bila msaada hatuwez kwenda.na pia ukimnyima mtu chakula anaweza akapata sehem nyngne au akafa kwa njaa,tuwe na njia nying mbadala sababu ukimtegemea jiran yako ipo siku atakutumikisha na utamnyenyekea kama na atakwambia "namwazima mke wako nikafanye nae shoping kariako ya vitu vyangu na vyako" utafanyeje wakat ndo mfadhili?
 
hakuwezi kukawa na ndoa katika jinsia moja. Huu ni ujinga wetu wanadamu kuita vitendo hivi ndoa. Ndoa inaviungo vyake vinavyojulikana sio mtu kutafuta mwanya wowote akiona anaweza kupitisha tu watu tunabariki eti ni ndoa. kwa mtindo huu ndoa zitakuwa nyingi maana ukiwa mwanaume ukaona tundu lolote unaloweza kupenyeza unaita ndoa au kwa mwanamke akiona cha kupenyeza anaita ni ndoa. Turudi kwenye maana kuna organs mbili tu zinazohusika na ndo na ndoa yoyote lazima ziwepo mbili. nje ya hapo ni upotoshaji
 
Watanzania tu waoga wa maisha

"To know the enemy is half the victory"
 
Hiyo ni mikakati ya "NEW WORLD ORDER POLICY"....Mungu atuepushe
 
Nimefuatilia kwa karibu repoti ya Haki za Binadamu iliyotolewa wiki liyopita na mienendo ya wanaharakati dani na nje ya nchi hasa mkutano wa mashoga na wabunge wiki hii. Tujiandae kuletwa sheria ya jinsia moja na kupitishwa ndani ya miaka 2 ijayo kama ile ya Ugaidi.Hilo ni agizo toka kwa Viranja wa dunia alilopewa mkuu wa kaya kwenye safari ya juzi huko majuu. Hamtaki MTAPIGWA TU!

Hapo penye "red" Mmmmmh!!!!! Ongezea "LIWALO NA LIWE"
 
eeeeeeee Mwenyezi Mungu tuepushie balaa hili.
 
Back
Top Bottom