ni wakati wa kupata akili.ni bora tukaishi kwa kubangaiza kulko kuwategemea alaf wanatunyanyasa kama mba,hapa wengne tupo tayari kuto pata soko la kwao tutapigika na tutatokelezea wao watatufata wenyewe.,si kubaliani na msemo wa kwamba bila msaada hatuwez kwenda.na pia ukimnyima mtu chakula anaweza akapata sehem nyngne au akafa kwa njaa,tuwe na njia nying mbadala sababu ukimtegemea jiran yako ipo siku atakutumikisha na utamnyenyekea kama na atakwambia "namwazima mke wako nikafanye nae shoping kariako ya vitu vyangu na vyako" utafanyeje wakat ndo mfadhili?