Sheria ya probation katika kazi

Mwangaruka

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
24
Reaction score
2
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.

Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz. Natumai kupata maelezo stahiki toka kwa nguli wa sheria jukwaani.
 
Mi nachojua mtu akiwa under probation ambacho ni kipindi cha matazamio. Kipindi hiki ni kwamba anakuwa aja ajiriwa, kipindi hiki ni cha miezi mitatu, wana sheria naomba watujuze zaidi, nawasilisha.
 

Kama ni wasomi ila hata haki zao hawazijui sasa usomi wao uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…