Mwangaruka
Member
- Nov 30, 2014
- 24
- 2
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.
Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz. Natumai kupata maelezo stahiki toka kwa nguli wa sheria jukwaani.