BWANA MISOSI
Member
- Feb 11, 2020
- 39
- 25
sasa huyo waziri nampataje?Unaweza kwenda kwa Waziri husika amabye ni Mhagama ili akupe ufafanuzi maana hawa wafanyakazi ktk Mifuko ya Jamii wanawezakufanya hata ufe ghafla wengi hawajui kinachoendelea. Baada ya Rais kutoa maelekezo ya kufuta kikokotoo ilitakiwa yafanywe marekebisho ya kanuni za mifuko ya hiffadhi ya Jamii hasa kuhusu fao la kujitoa/ kukosa ajira
Mbona umeongea kama wafanyakazi wa hiyo mifuko(yaani wewe pia hueleweki).Unaweza kwenda kwa Waziri husika amabye ni Mhagama ili akupe ufafanuzi maana hawa wafanyakazi ktk Mifuko ya Jamii wanawezakufanya hata ufe ghafla wengi hawajui kinachoendelea. Baada ya Rais kutoa maelekezo ya kufuta kikokotoo ilitakiwa yafanywe marekebisho ya kanuni za mifuko ya hiffadhi ya Jamii hasa kuhusu fao la kujitoa/ kukosa ajira
Jaribu hata kwa email hi kwa kuwasiliana naye - ( j.mhagama@bunge.go.tz)Mbona umeongea kama wafanyakazi wa hiyo mifuko(yaani wewe pia hueleweki).
Sent using Jamii Forums mobile app
ok. asante.Jaribu hata kwa email hi kwa kuwasiliana naye - ( j.mhagama@bunge.go.tz)