Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Wadau, sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bhangi (sigara Kubwa) Lakini maduka mengi ya mtaani kuna bidhaa inaitwa Rizzla (zigi, paper, kamba) na majina mengineyo kama ambavyo wasela huita kwa misamiati ya kamusi zajo za kitaa.
Swali ni je? Kazi ya Rizzla ni nini mbona madukani inauzwa kihalali? Lakini kitu (bhangi) hairuhusiwi?
Wapo watakaosema ya kunyongea tumbaku, si kweli.
Nina Rizzla, hapa wapi wanauza tumbaku huku mjini ninunue nitoe msokoto halali?
Nawasilisha