Sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bangi lakini maduka mengi mtaani yanauza Rizzla

Sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bangi lakini maduka mengi mtaani yanauza Rizzla

Ganja (bhangi, weed, blunt, joint) iruhusiwe au isiruhusiwe?

  • Total voters
    39
hiyo ndio kanuni mfano mimi starehe yangu ni Ganja peke yake ilinifanya niachane na pombe kabisa sitaki kusikia hata harufu yake

Lakini huko nyuma nilikuwa ni mnywaji wa pombe mzuri sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..hutaki hata kusikia hata harufu yake
 
Back
Top Bottom