Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 196
- 265
Nafikria hapa ,ngoja kwanza wanielekeze maduka ya tumbaku nikikosa ntatolea mjani nione taste yake na Mimi.Nyongea bange kjn jiongeze
Bangi ni kitu ambacho hakitakuja kuchukuliwa serious hapa Tanzania kwani wabunge na viongozi wengi serikalini ni watumiaji wazuri tu wa hii sigara kaliWadau,sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bhangi (sigara Kubwa)
Lakini,maduka mengi ya mtaani kuna bidhaa inaitwa Rizzla (zigi,paper, kamba) na majina mengineyo ,kama ambavyo wasela huita kwa misamiati ya kamusi zajo za kitaa.
Swali ,ni je? Kazi ya rizzla ni nini mbona madukani inauzwa kihalali? Lakini kitu (bhangi) hairuhusiwi?
Wapo watakaosema ya kunyongea tumbaku si kweli.
Nina rizzla hapa wapi wanauza tumbaku huku mjini ,ninunue nitoe msokoto halali.
Nawasilisha
sasa kama viongozi ni watumiaji wazuri kwa nini isichukuliwe serious?Bangi ni kitu ambacho hakitakuja kuchukuliwa serious hapa Tanzania kwani wabunge na viongozi wengi serikalini ni watumiaji wazuri tu wa hii sigara kali
Wameweka hisa zao kwenye kampuni za Sigara jiongeze TCC ndio inaongoza kwa mauzo ya hisa kwenye soko la hisa na hisa moja Ina Bei mbaya sio MCHEZOsasa kama viongozi ni watumiaji wazuri kwa nini isichukuliwe serious?
😅Ikiruhusiwa utamu wake utapungua. Acha iendelee kuwa illegal.
Kitu cha kuibaiba huwa kitamu sana
Hata kudinya kiuwizi inakuaga tamu hatarrrIkiruhusiwa utamu wake utapungua. Acha iendelee kuwa illegal.
Kitu cha kuibaiba huwa kitamu sana
Acha tu mkuuHata kudinya kiuwizi inakuaga tamu hatarrr
Siku zote nawaambiaga vijana kama HAIJAWAI kutumia kilevi chochote basi haujawai kuishi.....Wadau, sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bhangi (sigara Kubwa) Lakini maduka mengi ya mtaani kuna bidhaa inaitwa Rizzla (zigi, paper, kamba) na majina mengineyo kama ambavyo wasela huita kwa misamiati ya kamusi zajo za kitaa.
Swali ni je? Kazi ya Rizzla ni nini mbona madukani inauzwa kihalali? Lakini kitu (bhangi) hairuhusiwi?
Wapo watakaosema ya kunyongea tumbaku, si kweli.
Nina Rizzla, hapa wapi wanauza tumbaku huku mjini ninunue nitoe msokoto halali?
Nawasilisha
Umesema kweli.... Bangi ikifuatiwa na Shooo... huwa najihisi nishamaliza dunia yote na Ikulu zakeIkiruhusiwa utamu wake utapungua. Acha iendelee kuwa illegal.
Kitu cha kuibaiba huwa kitamu sana
Rizla ni kwa ajili ya kuvutia tumbaku,magazeti yanawaumiza wavutaji,magandanya mahindi hupatikana vijijini tu Tena kwa msimuWadau, sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bhangi (sigara Kubwa) Lakini maduka mengi ya mtaani kuna bidhaa inaitwa Rizzla (zigi, paper, kamba) na majina mengineyo kama ambavyo wasela huita kwa misamiati ya kamusi zajo za kitaa.
Swali ni je? Kazi ya Rizzla ni nini mbona madukani inauzwa kihalali? Lakini kitu (bhangi) hairuhusiwi?
Wapo watakaosema ya kunyongea tumbaku, si kweli.
Nina Rizzla, hapa wapi wanauza tumbaku huku mjini ninunue nitoe msokoto halali?
Nawasilisha
Pamoja sana😀Umesema kweli.... Bangi ikifuatiwa na Shooo... huwa najihisi nishamaliza dunia yote na Ikulu zake