Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,629 Jul 27, 2015 #1 Mada tajwa hapo juu yahusika: a)Hivi kuna sheria au tangazo la serikali iliyoanzisha/lililoanzisha hiki kitu? b)Kama hipo ni ya/la mwaka gani Maswali mengine yatategemea na ujibwaji wa maswali hapo juu, naomba kuelimishwa
Mada tajwa hapo juu yahusika: a)Hivi kuna sheria au tangazo la serikali iliyoanzisha/lililoanzisha hiki kitu? b)Kama hipo ni ya/la mwaka gani Maswali mengine yatategemea na ujibwaji wa maswali hapo juu, naomba kuelimishwa
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Jul 27, 2015 #2 Mwenge ni uchawi wa ccm kupumbaza wananchi
Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,042 Jul 27, 2015 #3 Sidhani kama kuna sheria. Maana sijawahi sikia ikifanyiwa marekebisho.
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,629 Jul 27, 2015 Thread starter #4 asanteni jamani
W wikama Member Joined Nov 2, 2010 Posts 81 Reaction score 5 Jul 28, 2015 #5 Ni tamko LA rais kama unavyojua mkuu wa nchi akitamka kitu huwa ni agizo au Amri Ila sina uhakika kama ipo kisheria !!
Ni tamko LA rais kama unavyojua mkuu wa nchi akitamka kitu huwa ni agizo au Amri Ila sina uhakika kama ipo kisheria !!
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,629 Aug 2, 2015 Thread starter #6 Wikama asante
E EIGHTIESTHROWBACK JF-Expert Member Joined Aug 4, 2016 Posts 328 Reaction score 275 Oct 13, 2016 #7 Sina majibu Tanzania ya Viwanda inakuja Kila mtu afanye kazi
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,629 Oct 13, 2016 Thread starter #8 EIGHTIESTHROWBACK said: Sina majibu Tanzania ya Viwanda inakuja Kila mtu afanye kazi Click to expand... Asante mkuu,kwa kufunguka!
EIGHTIESTHROWBACK said: Sina majibu Tanzania ya Viwanda inakuja Kila mtu afanye kazi Click to expand... Asante mkuu,kwa kufunguka!