Sheria ya Uanzishwaji wa Mwenge wa Uhuru

Sheria ya Uanzishwaji wa Mwenge wa Uhuru

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,629
Mada tajwa hapo juu yahusika:

a)Hivi kuna sheria au tangazo la serikali iliyoanzisha/lililoanzisha hiki kitu?

b)Kama hipo ni ya/la mwaka gani

Maswali mengine yatategemea na ujibwaji wa maswali hapo juu, naomba kuelimishwa
 
Sidhani kama kuna sheria. Maana sijawahi sikia ikifanyiwa marekebisho.
 
Ni tamko LA rais kama unavyojua mkuu wa nchi akitamka kitu huwa ni agizo au Amri Ila sina uhakika kama ipo kisheria !!
 
Back
Top Bottom