YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa,Mtu alishahukumiwa certified mhalifu na akafungwa kumruhusu agombee cheo cha kisiasa si sahihi ni kuingiza magenge ya wahalifu kwenye siasa