Sheria ya uchaguzi ibadilishwe haraka; mtu aliyewahi kufungwa jela asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa

Akili za kunguru.

36d2491c7218f3191db55c5fd9d6539d.jpg

!
!
Hii bunduki ilitakiwa iwe imevishwa Kofia ya polisi
 
Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa,Mtu alishahukumiwa certified mhalifu na akafungwa kumruhusu agombee cheo cha kisiasa si sahihi ni kuingiza magenge ya wahalifu kwenye siasa

Hii kutunga sheria ili kuridhisha upande fulani kwa wakati fulani ndio ujamhuri wa ndizi na sokwe wenyewe hasa!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wezi wa magari akina Lema walupitaje kuw a wabunge tume kulikuwa na wala rushwa au lema alidanganya kwenye fomu?
Mbona hamkuweka pingamizi ili mpate ushindi wa mezani?
 
Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa,Mtu alishahukumiwa certified mhalifu na akafungwa kumruhusu agombee cheo cha kisiasa si sahihi ni kuingiza magenge ya wahalifu kwenye siasa
Kila nikikumbuka jinsi utotoni walivyokuwa wanakula witi napata wasiwasi bado uneendelea na mchezo huyo na hayo ndio madhara kila ukiwashwa tu unakimbilia wanaume
 
Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa,Mtu alishahukumiwa certified mhalifu na akafungwa kumruhusu agombee cheo cha kisiasa si sahihi ni kuingiza magenge ya wahalifu kwenye siasa
Ila ni sahihi kwa wabakaji wa watoto kupokelewa ikulu kama wafalme?
 
Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa,Mtu alishahukumiwa certified mhalifu na akafungwa kumruhusu agombee cheo cha kisiasa si sahihi ni kuingiza magenge ya wahalifu kwenye siasa

umekubali kubebewa akili kama mbwa anayefugwa na kwa hiyo kilicho kizuri akilini mwako ni kufanya na kusema yatakayomfanya bwana mbwa wako awe anatabasamu wakati unatingisha mkia na kurukaruka because that way ataendelea kukutupia mifupa na ugali mbovu uendelee kusurvive. ni heri ungekuwa mbwa koko ujitafutiege chakula mwenyewe majalalani lakini ukimaintain some latitude of freedom.
umekubali mwenyewe. sisi wengine bado tunauthamini uwezo wetu wa utashi wa kuwaza freely, free thinking na nguvu ya hoja. utatumia mapanga, jela na every artillery you have lakini hizo hazitashinda hoja. natamani uwepo siku Tanzania itakapokuwa huru tena.
 
sheria ni msumeno, na kwanini sheria ibadilishwe kuwanyima haki ya kisiasa watu ambao wamewahi kukutwa na hatia?

Mambo mengine tuwe tunafikiria kwa mapana yake, binafsi sijaona mantiki ya kumnyima mtu haki yake ya kisasa ya kuwa kiongozi eti kisa alifungwa!!!!!!

Kwanini tuendelee kumhukumu mtu hata baada ya kutumikia adhabu yake kama lengo la kumfunga ni kumpa nafasi ya yey kujitafakari upya na kujifunza, kwanini tumnyime haki yake ya kisiasa??
 
Back
Top Bottom