Akili za kunguru.Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheriaya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa
Una mawazo ya kitoto.Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheriaya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa
Umejibu kirahisi sana, ishu ya madiba ni tofauti sana.Una mawazo ya kitoto.
Refer Madiba!
Mkuu sheria hazibadilishwi on personal whims.tunaongelea Tanzania hatuongelei afrika kusini,Tanzania is not a copy cat of south africa or any other country in the world
Huo ndo ukweli wenyeweAkili za kunguru.
Nashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa,Mtu alishahukumiwa certified mhalifu na akafungwa kumruhusu agombee cheo cha kisiasa si sahihi ni kuingiza magenge ya wahalifu kwenye siasa
Kama ndivyo unavyotaka basi kina Mandela,Zuma wasingekuwa maraisNashauri waziri wa sheria apeleke haraka mswada wa mabadiliko ya sheria ya tume ya uchaguzi bungeni wa kuzuia mtu yeyote aliyewahi fungwa jela kwa kosa lolote asiruhusiwe kugombea cheo chochote cha siasa .Hii itasaidia kuondokana na wahalifu kuingia katika siasa,Mtu alishahukumiwa certified mhalifu na akafungwa kumruhusu agombee cheo cha kisiasa si sahihi ni kuingiza magenge ya wahalifu kwenye siasa
Wezi wa magari akina Lema walupitaje kuw a wabunge tume kulikuwa na wala rushwa au lema alidanganya kwenye fomu?Mbona sheria hiyo ipo,, tatizo mi sisiem mingi inakaririshwa tu, pitia sheria za uchaguzi utaiona,si kila kifungo kinazuia mtu ktk siasa