Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Wana JF naomba kuelimishwa juu ya sheria ya uchaguzi tuliyonayo sasa hivi. Kuna watu ambao ni watumishi wa serikali lakini wanashikilia nafasi za kisiasa. Mfano nilionao ni nafasi za madiwani.
Kuna madiwani ambao bado wako maofisini mwao wakiendelea na kazi za serikali. Je kwa sheria tuliyonayo watu hawa wanaruhusiwa kuendelea na kazi?
Ufahamu wangu ni kwamba ukisha teuliwa kuwa mgombea, unatakiwa kujiuzuru nafasi yako ya ajira serikalini.
Naomba mwongozo wenu juu ya hili.