Sheria ya uchaguzi inasemaje? Mwongozo wa wana-JF

Sheria ya uchaguzi inasemaje? Mwongozo wa wana-JF

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,705
Reaction score
4,703
Wana JF naomba kuelimishwa juu ya sheria ya uchaguzi tuliyonayo sasa hivi. Kuna watu ambao ni watumishi wa serikali lakini wanashikilia nafasi za kisiasa. Mfano nilionao ni nafasi za madiwani.

Kuna madiwani ambao bado wako maofisini mwao wakiendelea na kazi za serikali. Je kwa sheria tuliyonayo watu hawa wanaruhusiwa kuendelea na kazi?

Ufahamu wangu ni kwamba ukisha teuliwa kuwa mgombea, unatakiwa kujiuzuru nafasi yako ya ajira serikalini.

Naomba mwongozo wenu juu ya hili.
 
Ni ukiukwaji wa sheria za nchi tu! Si vyema mtu kuwa na kofia mbili; hairuhusiwi kabisa kada wa chama cha siasa kuwa mtumishi wa Serikali, lakini katika nchi hii wapo Wanajeshi ambao ni makada wa vyama vya siasa n.k.
 
kwanini usitoe Mfano? kisheri hairuhusiwi otherwise uombe likizo pasipo malipo
 
Back
Top Bottom