Sheria ya uchochezi haifanyi kazi kwa Spika nje ya Bunge?

Sheria ya uchochezi haifanyi kazi kwa Spika nje ya Bunge?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kusema nchi itapigwa mnada na mtu mkubwa mwenye taarifa nyingi kuhusu nchi haitoshi kuwachochea watu wavunje Sheria?

Haitoshi kuwatia watu taharuki na hofu kubwa? Haitoshi kuchocbea mapinduzi? Haitoshi kuitwa uhaini?

DPP hii ni kawaida?
 
Back
Top Bottom