Sheria ya Upekee wa Uelewa na Uhalisia wa Maisha (Kanuni Ya Nne ya Akili na Ulimwengu)


Una-copy thread ndefu unawachosha watu, kwanini usi-comment kama hakuna msisitizo wa bold?
 
Last edited by a moderator:
Write your reply...mkuu nashukuru kwa nondo unazodondosha, tafadhali Sheria ya Kwanza sijaiona au ndo inakuja hivi punde.
 
Jamaa ameandika vizuri toka mwanzo kuwa hakuna kitu kinachooneka fizikali ambacho hakijaanza kama wazo(hata Mungu alianza na wazo kuumba ulimwengu).

Wazo ndio msingi wa kila tunachokiona mf. Simu, computer, gari, ndege, nyumba n.k.
Kama kila kitu kimeanza kama wazo akarudi kusema kuna uhuru wa kufikiri unachotaka wewe mwenyewe.

Hakuna wa kukuwazia katika bongo yako isipokuwa wewe mwenyewe.

Kwahio unaweza ukawaza utakavyo na baada ya kuwaza utakavyo kuna sheria kuwa kila unachokiwekea umakini hukuwa/kuimarika.

Ukiwaza kuwa ww ni masikini utakuwa msikini, yeye alitoa mfano wa mtu anaenyanyua chuma na kusema misuli inakuwa expand maana iko katika umakini wa kunyanyua chuma.

Kwahio kama ni hivyo basi kila mtu anaishi kwenye ulimwengu wake kulingana na vile anavyowaza.

Yaani tunachowaza na kukiwekea umakini ndicho kinachotengeneza uhalisia wa maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…