toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
*KUANZIA KESHO 15/01/2018 Ni marufuku kutupa takataka za aina yoyote ile barabarani na sehemu yoyote ile isiyo maalumu. Ukikamatwa fine ya sh 100,000/= inakuhusu na wale abiria wanaorusha takataka nnje ya basi wakiwa safarini fine yake ni 300,000/= kuwa makini kuna watu zaidi ya elfu moja wamewekwa kila mkoa kufatilia wachafuzi wa mazingira