Tetesi: Sheria ya usafi wa mazingira

Tetesi: Sheria ya usafi wa mazingira

toroka uje mjini

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
1,584
Reaction score
2,111
*KUANZIA KESHO 15/01/2018 Ni marufuku kutupa takataka za aina yoyote ile barabarani na sehemu yoyote ile isiyo maalumu. Ukikamatwa fine ya sh 100,000/= inakuhusu na wale abiria wanaorusha takataka nnje ya basi wakiwa safarini fine yake ni 300,000/= kuwa makini kuna watu zaidi ya elfu moja wamewekwa kila mkoa kufatilia wachafuzi wa mazingira
 
Itabidi nitembee na begi langu la mgongoni, takataka zangu zote humo
 
Back
Top Bottom