Sheria ya Usalama ya Mwaka 1996 Ibara ya 5:29(10) Imeiua Tanzania?

usalam wa taifa iliharibika mara tu walipokuwa wakijihusisha na njama za kuibeba ccm hasa kule zanzibar na kupinduwa ushindi wa cuf 1995 hapo mambo ndio yakaharibika tangu siku hiyo wakaanza kutetea maslah ya wana siasa na kuacha uchumi ukihujumiwa na mafisadi
 

Dr. Slaa,
Would you consider reforming TISS if CHADEMA comes into power?
Is there anything done or performed by the current TISS that you appreciate??
 
Dr. Slaa,
Would you consider reforming TISS if CHADEMA comes into power?
Is there anything done or performed by the current TISS that you appreciate??

Enheeee
 
Hii mikataba mibovu tunayoingia hawa jamaa huwa hawaioni au nao ni sehemu ya tatizo?maana haieleweki kuwa na mikataba hii na wao wapo.
 
Ilikuwa kuna nchi ya kusadikika ila naamini sasa imejulikana
 
Mada yako ni nzuri ila nikukumbushe kuwa Usalama wa taifa hili upo mikononi mwa kila mtanzania...sio jukumi la USALAMA WA TAIFA peke yao...mimi na wewe ni haki yetu kuilinda nchi yetu uwe ni usalama, ama usiwe ata ukiwa mkulima bado haki ya kuilinda nchi ipo mikononi mwako.
 
ngoja tufukue hili kaburi.........
 
nchi za wenzetu usalama wa taifa ndio hudili na viongozi mapandikizi ya nchi jirani...........

yan wakishajua kiongozi flani ni puppet basi wanamuwahisha kwenye makao yake ya milele.........

tuna shida hio hapa bongo
 
ya Ngoswe muachieni Ngoswe..hii idara inadhalilishwa na Chadede, nashangaa kuishi nchi ambayo amani yake inalindwa na the same people that you accuse
Tuna usalama wa taifa au usalama wa ccm?
 
nchi za wenzetu usalama wa taifa ndio hudili na viongozi mapandikizi ya nchi jirani...........

yan wakishajua kiongozi flani ni puppet basi wanamuwahisha kwenye makao yake ya milele.........

tuna shida hio hapa bongo
Hapa bongo wako bize kutafuta Lissu na Mbowe wamelala wapi.

Maajabu sana, badala ya kulinda usalama wa raia wao wanahatarisha usalama wa raia.
 
KIMALKIA KIGUUMUU tuwekee na kwa KIENYEJI TULICHOZOEA mkuu
 

Na vipi hiyo kamati na wajumbe wake wakipotoka, je nani atawawajibisha?
 

[emoji106] [emoji106]
 

Nadhani sheria iko vizuri sana. Sio jukumu la Usalama wa taifa kumkamata mtu. Imagine wakianza kukamata si watajulikana wote? Utendaji wao uko makini na wana taratibu zao kutoa taarifa kwa hatua zaidi. Ni kitengo muhimu sana kwa mustakabali wa usalama wa nchi hii...yaani kinapaswa kisiingiliwe na siasa kabisa ili kipate kutenda vema...ilipaswa DG awe anateuliwa na mhimili usiofungamana na siasa za upande mmoja.
 
Raha ilioje kuona Nchi yangu iko kwenye right truck thanks God...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…