Sheria ya utoaji mimba kwa wenye matatizo

Sheria ya utoaji mimba kwa wenye matatizo

Mouzey

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Wana JF embu nisaidien katika hili, inafahamika Tz ni kosa kutoa mimba kisheria, ila kama m2 akiwa na matatizo kiafya yanayoweza ku7bshwa na ujauzto alioupata na akataka kutoa ni sheria zp anazopaswa kuzifuata kabla ya kutoa ujauzito huo?
 
Back
Top Bottom