Sheria ya Utumishi wa Umma inasemaje kuhusu suala hili?

Sheria ya Utumishi wa Umma inasemaje kuhusu suala hili?

Haji Mashaka Nassoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
384
Reaction score
850
Watumishi wa Drs la 7 walioondolewa kwenye utumishi wa umma mwaka 2017 halafu mwaka 2020 wakapewa barua rasmi za kusitisha ajira na kulipwa kiinua mgongo, likizo na nauli.

Swali je, kati ya mwaka 2017 - 2020 Yani miaka mitatu kipindi "wanasota" kusubiri hatma yao kuna stahiki yoyote kisheria wanastahili kulipwa?
 
Daah! LY aisee umenikumbusha mbali Sana mwaka 1984 Mihayo Primary School Tabora mjini.
 
Back
Top Bottom