Sheria za ardhi

Sheria za ardhi

Micky333

New Member
Joined
Jan 14, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Naomba ufafanuzi, Mfano mtu alinunua kiwanja ambacho kimejengwa nyumba baadaye anakuja kaka wa muuzaji na kusema apewe percent kwani alihusika katika vifaa baadhi vya ujenzi kama milango na tofali kadhaa, hapo nani anakua na haki?.
 
Mimi nadhani vitu vingine hata kisheria ni kusumbua watu tu, kama umenunua kiwanja na kina nyumba maana yake amekuuzia vitu vyote vilivyomo kwenye kiwanja. Huyo anaedai alihusika katika milango nadhani amfate aliepewa pesa ya mauziano kulikoa kuanza kumsumbua mnunuaji.
 
Wewe uliingia contract na uyo mwingine na sio uyo third party .so hapo uyo third party huna contract nae so tuna assume hatumjui [emoji848]

SUBIRI KIDOGO
 
Kwani eneo lilikuwa la familia? Huyo kaka anahusika vp na mauziano yenu?
 
Kikubwa yule mwenye jina kwenye hati ndio mmliki unless anayelalamika ni mkewe
 
Back
Top Bottom