Achana na Hawa walalamishi mkuu, Kwani Kuna Nini kisicho Cha uanamichezo walichofanya Hawa waarabu? Au walitaka waarabu wajifunge Gori la pili Ili kuwaridhisha hawa utopolo?Wamefanyaje mkuu?
Kwahyo yanga wameshindwa sababu ya Yale mataa ?Yale mataa ya kumulika mulika kama uko kwenye show ya akudo yalikuwa yanatafuta nini uwanjani?? Harafu unakuta jitu liko hapa na kikwapa chake cha bungo bichi anareta fyoko fyoko
Yaani kwanza pangusa hapo ulipoweka matakle yako maana naona kama kuna kitu unakitoa bila kujuaKwahyo yanga wameshindwa sababu ya Yale mataa ?
Ndio Usm Alger wamependelewa
Nafahamu maumivu uliyo nayo yaani unashinda halafu kombe anapewa mwingine ..mwarabu kweli nomaYaani kwanza pangusa hapo ulipoweka matakle yako maana naona kama kuna kitu unakitoa bila kujua
Simba walivyofanyiwa hivi pale taifa mlifurahia kengebluuu....mnyooshwe tuSheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu ,warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua.
Ni muda sasa centrol ,East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze wenyewe mpira ya figisu kama ya leo kwa sababu CAF wameshindwa kuchukulia hatua North Africa countries .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yale mataa ya kumulika mulika kama uko kwenye show ya akudo yalikuwa yanatafuta nini uwanjani?? Harafu unakuta jitu liko hapa na kikwapa chake cha bungo bichi anareta fyoko fyoko
Tatizo la kuangalia mechi kwa kushtukiza
Hebu tizama mechi kati ya al ahly na wydad kesho huko Cairo utajionea mengi
Tatizo la kuvamia mpira ukubwani
Kosa la Usk Alger ni nini kwani?