Sheria za CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu?

Sheria za CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu?

NYOGELO

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
27
Reaction score
50
Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu, warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua.

Ni muda sasa centrol, East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze wenyewe mpira ya figisu kama ya leo kwa sababu CAF wameshindwa kuchukulia hatua North Africa countries .
 
Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu ,warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua.

Ni muda sasa centrol ,East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze wenyewe mpira ya figisu kama ya leo kwa sababu CAF wameshindwa kuchukulia hatua North Africa countries .
Simba walivyofanyiwa hivi pale taifa mlifurahia kengebluuu....mnyooshwe tu
 
Yale mataa ya kumulika mulika kama uko kwenye show ya akudo yalikuwa yanatafuta nini uwanjani?? Harafu unakuta jitu liko hapa na kikwapa chake cha bungo bichi anareta fyoko fyoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
 
Pale unapomwambia muumini wa ushogqer kuwa ni upuuzi atakujib kama hivihivi!.
Tatizo la kuangalia mechi kwa kushtukiza


Hebu tizama mechi kati ya al ahly na wydad kesho huko Cairo utajionea mengi

Tatizo la kuvamia mpira ukubwani

Kosa la Usk Alger ni nini kwani?
 
Back
Top Bottom