Sheria za Kazi: Uliza Ujibiwe

kuna ground za mwajili kusitisha mkataba na ww moja ikiwa kutokuwa na uwezo na kazi ile (hata kama uko trained kwa 3yrs ) ila umeshindwa fikia vigezo vya kutenda kazi anaweza vunja mkataba.

cha muhimu katika kuvunja mkataba anatakiwa akulipe stahiki zako.

suala la kutoajirika kwingine halimuhusu mwajiri alievunja mkataba, kama amaesha kulipa.
 

Well alinilipa stahiki zangu. Na mkataba haukuvunjwa kwa sababu yoyote isipokuwa Hali ya kibiashara uliyumba kwa wakati huo na mwajiri kupunguza kazi sana. Sasa what about now ambapo amepata business tena?
 
Well alinilipa stahiki zangu. Na mkataba haukuvunjwa kwa sababu yoyote isipokuwa Hali ya kibiashara uliyumba kwa wakati huo na mwajiri kupunguza kazi sana. Sasa what about now ambapo amepata business tena?
kuvunjwa kwa mkataba wako kupo kwenye ground ya dismisal/retrenchment for oparation requirement. hapa mwajili hupunguza wafanyakazi kwa kigezo cha kuyumba kiuchumi, muundo wa ajira, tekinology ama kubadiri mfanyakazi

kwa kuwa alikuwa na kigezo cha kupunguza wafanyakazi (hicho hapo juu) yuko sahihi ila alitakiwa kuzungumza na ww juu hali ya kampuni na kusema wafanya kazi wepi wataathirika. pia alitakiwa wasiliana na chama ch wafanykaz kuwapa taarifa nao wathibitishe

suala la kukuajili upya baada ya hali kutengemaa haikuwa lazima labda kama mkataba wa awali ulisema watawapa kipaumbele.

wengine wataongezea pale nilipoacha ama kupotoka
 
kwa hiyo tukimaliza mkataba na 30yrs tuendelee kusubiri tu mpaka 55yrs kwa maana ni sheria?
Kwasababu ni sheria basi ni lazima kusubiri labda utoe mapendekezo hiyo sheria ifanyiwe marekebisho
 
Swali ivi kama mfanya kazi kampuni binafsi kama bank alafu isikulipe mishahara miezi 2 bila taarifa yoyote hapo unafanyaje
 
Kwa taarifa yako fao lakujitoa limesimamishwa teayri wakisubiri mapendekezo ya bunge
 
Ulimpigia nani kura? Jibu hapo halafu tujadili kujitoa
Mzee wa kaskazini laigwanani, sijawahi pigia kura ccm in my life time, kura nilipigia kijijini kwetu na aliekuwa anagombea kwa tiketi ya ccm ni binamu yangu kabisa lakini si kumpa kura yangu japomkuwa alishinda kimagumashi
 

Kwenye retrenchment agreement kuna kipengele cha kuajiriwa tena Hali ikiwa nzuri
 
Mzee wa kaskazini laigwanani, sijawahi pigia kura ccm in my life time, kura nilipigia kijijini kwetu na aliekuwa anagombea kwa tiketi ya ccm ni binamu yangu kabisa lakini si kumpa kura yangu japomkuwa alishinda kimagumashi
Tumeumia! Pole I am a retired officer but have my kids and the public in general facing this gross injustice!
 
Kiongozi habari za Kazi?. nilikuwa naomba ufafanuzi. Mimi niliajiriwa Bukoba na shirika moja la ubelgiji. Katikati ya mkataba wakanihamishia Dar, lakini kabla mkataba haujaisha nikiwa hapa dar wakanipa notice kwamba hawataniongeza mkataba, mkataba wangu umeisha tarehe 30 Septemba. Niliwaomba nauli za kunisafirisha Mimi na vitu vyangu lakini wakakataa, Je kwa mujibu wa sheria ninapaswa nilipwe aje kwa ajili ya safari na je wanapaswa kunilipa posho za kujikimu tangu mkataba wangu ulipoisha mpaka siku ya kusafiri?. Na kisheria posho ni shilingi ngapi kama mshahara wangu ulikuwa 1,100,000/=
 
Mimi ni mtumishi wa umma. Ni muajiliwa wa halimashauri. DED ndio muajiri wangu. Katika mkataba wangu wa kazi kuna kipengere kinchobainisha kuwa nitakua na annual increment ya 10% katika mshahara wangu kila kuanzia tarehe 1 mwezi wa saba. Sasa ni mwezi wa kumi muajiri ajatekeleza kipengere hicho cha mkataba. Mbaya zaidi hajanitaarifu sio kwa mdomo wala maandishi. Swali je muajiri atakua amevunja mkataba? Na je naweza kumsue mahakamani kwa kushindwa kutekeleza mkataba na kunilipa pamoja na fidia ya usumbufu? Pia ifahamike nimewasiliana na mkuu wangu wa idara ameishia kusema hayo ni mambo ya juu. Afisa utumishi nae ameishia kutabasamu tu huku nae akinionyesha barua yake ya kubadirishiwa mshahara lakini haoni mabadiriko ktk account yake na mwanasheria wetu amedai hata yeye ajui kama awamu hii iko tayari kufuata taratibu na miongozo ya kazi. Nasubiri jibu mkuu
 
Mkuu,

Muombe kwanza huyo muajiri wako atekeleze mkataba wake( yani hicho kipengele katika huo mkataba).

Utakapoona hafanyi hivyo nenda mahakamani ukatafute haki yako hakika hautatoka mahakamani mikono mitupu lazima utapata haki yako.

Pia kuhusu suala ya fidia inabidi ujipange vizuri kuithibitishia mahakama kuwa kutolipwa asilimia 10% hiyo inanisabanishia hasara fulani na ili ulipwe fidia lazima hiyo hasara isiwe imejificha na iwe ni hasara ya moja kwa moja.
 

sheria ya mahusiano kazini inamtaka mwajili kumsafirisha ama kumpa pesa ya usafiri mwajiliwa (familia yake ) pale wanapovunja mkataba

inatakiwa amrudishe sehemu aliyo msahili (place of recruitment)

ila naona kesi yako wewe ni tofauti, mkataba umeisha na ujavunjwa hivyo inatakiwa ujisafirishe na familia.
 
Nimekuelewa mkuu. Nitampa notice atekeleze mkataba.
 
Hapo mnachezeana shere. Mwajiri anakwepa kukuajiri badala yake anakupa mkataba wa miezi 3 halafu kwaakusudi anaukosea ili ubishe akusubirishe miezi 3 ndipo akupe mkataba mwingine. Hiyo ni kama wale ambao kila miezi 3 wanalazimushwa kubadili majina au herufi ili uonekane mtu mwingine.
We kusanya mikataba yote mpeleke ofisi idara husika atahesabika kuwa alikuwa amekuajiri kwa madharti ya kudumu na atakulipa stahiki zako kwa mujibu wa sheria.
 
Bahati mbaya sheria haisemi chochote kuhusu aina hiyo ya hoja. Kinachoangaliwa hapa ni kama umedhulumiwa na mwajiri.
 
Suala la walimu na madaktari kuajiriwa na serikali baada ya kumaliza masomo yao lipo kikatiba au ni mazoea tu kuwa serikali inawaajiri watu wa kada hizi wanapohitimu masomo yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…