zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
kuna ground za mwajili kusitisha mkataba na ww moja ikiwa kutokuwa na uwezo na kazi ile (hata kama uko trained kwa 3yrs ) ila umeshindwa fikia vigezo vya kutenda kazi anaweza vunja mkataba.Mkuu hii kazi ni nyeti na kwani sheria inasemaje kuhusu mwajiri kuleta mgeni kwa kazi ile ambayo wewe mzawa umepigwa chini ilhali umekuwa trained for more than 3yrs kufanya hiyo kazi na huwezi kuajirika kwingineko kwakuwa uko trained to work in that specific technology. Wanaleta watu wa nje kisa ni kazi ya miezi minne but what about me? Sina kazi na siajiriki kwingine:
cha muhimu katika kuvunja mkataba anatakiwa akulipe stahiki zako.
suala la kutoajirika kwingine halimuhusu mwajiri alievunja mkataba, kama amaesha kulipa.