Nenda (CMA) commission of mediation and arbitration wape malalamiko yako watajua jinsi ya kukusaidia,Mbona hamnipi maelekezo??
Maeneo ya bibi titi road,ulizia CMA au tume ya usuluhishi na uamuziShukran....ofisi zao zipo wapi?
Malipo ya ujira wako yalifanyikaje. Je.uliwahi kujiunga na mfuko.wa.hifadhi.ya jamii mf nssf nakadhalika. Makubaliano yalikuwa ni yapi. Maswali ni mengi. Piga 0712672210 kwa ushauri wa bure tu.Kama nikikwama itabidi nisonge hadi wizara ya kazi
Ulikuwa na mkataba wa kazi mkuuNaombeni msaada wenu kwa anayefajamu,,Mimi nimefanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi kwa miaka 12 bila kuajiriwa wala kukatiwa NSSF kuanzia march 2006 hadi November 2017,,sasa wameniachisha kazi bila kunilipa chochote,,sasa je kisheria hapo inakuaje,? Naweza kudai Haki zangu kwa njia gani??,,,,naombeni ufafanuzi wa kisheria hapo kwa anayefahamu