Zuberih
Member
- Dec 22, 2017
- 15
- 20
Naombeni msaada wenu kwa anayefajamu,,Mimi nimefanya kazi kwenye kampuni moja ya wahindi kwa miaka 12 bila kuajiriwa wala kukatiwa NSSF kuanzia march 2006 hadi November 2017,,sasa wameniachisha kazi bila kunilipa chochote,,sasa je kisheria hapo inakuaje,? Naweza kudai Haki zangu kwa njia gani??,,,,naombeni ufafanuzi wa kisheria hapo kwa anayefahamu