lwa kalolo Senior Member Joined Nov 24, 2014 Posts 173 Reaction score 94 Nov 30, 2014 #1 Wakuu sheria inasemaje juu ya mtu aliyefukuzwa kazi ktk mashirika yasiyo ya kiserikali na kisha kuchafuliwa cv ktk mtandao?
Wakuu sheria inasemaje juu ya mtu aliyefukuzwa kazi ktk mashirika yasiyo ya kiserikali na kisha kuchafuliwa cv ktk mtandao?
D daymadaba Member Joined Nov 24, 2014 Posts 17 Reaction score 7 Dec 3, 2014 #2 Aende commission for mediation and arbitration mapema ili awashtaki
T THE LEARNED COUNSEL Member Joined Nov 24, 2014 Posts 57 Reaction score 15 Dec 10, 2014 #3 hebu kuwa wazi umefukuzwa katika mazingira gani? maana hatuwezi kukusaidia kisheria bila ya kutoa details muhim!
hebu kuwa wazi umefukuzwa katika mazingira gani? maana hatuwezi kukusaidia kisheria bila ya kutoa details muhim!
B baba gatuso New Member Joined Dec 11, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Dec 12, 2014 #4 nauliza wanasheria vp kuhusu hizi kapuni za taka ambazo ukifungua tu frem ya biashara wanakudai uchangie mia mbili kwa siku biashara yenyewe utakuta ni uduma za kipesa uzalishi taka
nauliza wanasheria vp kuhusu hizi kapuni za taka ambazo ukifungua tu frem ya biashara wanakudai uchangie mia mbili kwa siku biashara yenyewe utakuta ni uduma za kipesa uzalishi taka