Sheria za kazi

Sheria za kazi

lwa kalolo

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
173
Reaction score
94
Wakuu sheria inasemaje juu ya mtu aliyefukuzwa kazi ktk mashirika yasiyo ya kiserikali na kisha kuchafuliwa cv ktk mtandao?
 
nauliza wanasheria vp kuhusu hizi kapuni za taka ambazo ukifungua tu frem ya biashara wanakudai uchangie mia mbili kwa siku biashara yenyewe utakuta ni uduma za kipesa uzalishi taka
 
Back
Top Bottom