Jamaa anawalisha watu matango pori sana yule ili apate viewsUshauri.::
Acha kumwamini jamaa wa story book
πππππππ Mambo hayapo magumu hvo
Jamaaa muongo sana yule...Jamaa anawalisha watu matango pori sana yule ili apate views
Stories za mambo ya ajabu ajabu zinauza sanaJamaaa muongo sana yule...
Ety anakwambia kuna kitabu ukisoma mara unakufa,,
Mara sijui ukitema big g wapi unapatwa na hiki.. an ujinga ujinga tyy faken πππππ
Sana sana..Stories za mambo ya ajabu ajabu zinauza sana
Duh,Kabla ujaenda kuishi Korea Kaskazini unatakiwa kuzifahamu hizi sheria 10 ngumu wanazokumbananazo raia wa taifa hilo
1. Kama mtu atafanya uhalifu, atafungwa jela yeye, watoto wake na wajukuu zake wote
2. Hutakiwi hata kutafakari kuhusu uhalifu, yaani ukikamatwa hata ukitafakari au kujiuliza kuhusu uhalifu au kuipinga serikali utafungwa jela
3. Ni lazima kila Mwananchi alie kwa sauti kubwa wakati wa ibada maalumu za kumbukumbu za viongozi waliopita ambao wamefariki (Lazima Ulie Kwa sauti)
4. Kupiga kura Korea Kaskazini ni lazima na kwenye karatasi ya kupiga kura kuna chaguo moja tu na ukikataa kupiga kura unashtakiwa kwa Uhaini
5. Ukikamatwa unatazama movie za Korea Kusini utakamatwa na kupelekwa kwenye mashamba kupiga kazi na wafungwa π
6. Wananchi wa Korea Kaskazini hawapati Internet ya nje ya Korea, yaani Internet ya Korea Kaskazini ni ya ndani tu,
7. Korea Kaskazini hutakiwi kuchagua style ya kunyoa badala yake utachagua Style moja kati ya zile zilizopitishwa na serikali kwaajili ya raia wake
8. Wananchi hawaruhusiwi kusafiri mji mmoja kwenda mwingine bila kibali maalumu cha ruhusa kutoka serikalini
9. Ni kosa kisheria kuvaa jeans ya blue na kuabudu kupitia dini (Islamic & Christian)
10. Sheria gani hapa imekushangaza??
#RoyalSon
Baada ya Irani hiki ndio kituo kifuatachoKabla ujaenda kuishi Korea Kaskazini unatakiwa kuzifahamu hizi sheria 10 ngumu wanazokumbananazo raia wa taifa hilo