GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ndiokuna kifungu cho chote cha Kisheria kinachowapa mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko kwa "wakosaji"?
Sheria imemruhusu DC au Waziri kuchapa raia waliokosea huku akichukuliwa video?Kuna sheria ndogo ndogo kweny ngazi za chini kama serikali za vijiji na mitaa...Hizo ni sheria za kimaadili watu wanachapwa fresh tu unakileta nyodo ...Kila sehemu kuna sheria zake ndogo ndogo.