Kiufupi hawa wapangaji wengine ni wajinga kupitiliza wasio heshimu imani za watu.
Nipo mkoani huko mjini kwenu dasilamu nimeacha kimjengo changu na kina wapangaji.
Masharti yangu ni kuwa mpangaji awe ana familia yani awe kama ni mume ameoa au mke awe ameolewa hivyo au kama hajaolewa au kuoa basi hatakiwa kuvusha humo ndani.
Sasa kuna hawa wadada wawili japo sijawai kuwaona napokea tu kodi zao kupitia kwa mdau hapo mtaani.
Napenyezewa taarifa kuwa uzalendo umewashinda na sasa wamegeuza hapo nyumbani kama gest bubu.
Huwa sometimes wanaingiza wanaume ndani na wanachofanya wao wanakijua wenyewe.
Sasa mimi nilichopanga ni kuwafukuza na sio kuwapa notice wala kuwarudishia hela zao mana sijawai kukerwa kama nilivyosikia hizi habari.
Nimeghadhibika sana na hawa watoto wa kike ambao hawana maadili hata kidogo.
Hii imenishushia heshima sana coz hapo mtaani mimi ni maalim mkubwa sana.
Mtu mpaka anaweka masharti yake kuna kitu amelenga mana hapa inakuwa kama mwenye nyumba ndio kiunganishi cha zambi zao za uzinifu.
Wapangaji wangu mtanisamehe nipo tayari kwenda kokote kodi hawapati na wanahama.