Sheria za nchi zinasemaje kuwafukuza wapangaji walioenda kinyume na makubaliano ya mdomo?

Sheria za nchi zinasemaje kuwafukuza wapangaji walioenda kinyume na makubaliano ya mdomo?

Yani Kodi yangu aijaisha unifukuze na usinirudishiee....!khaa
Hasira bila pesa kama Una imba pambio tuuh wape Chao waondoke au Kausha usitafute ugomvi
Na huyu ni mmoja wA wapangaji wako nadhani unamfahamu.
 
Nyumba za waislam zina masharti mengi sana kiupangaji, wanafuata utaratibu wa 'sharia' kama za saudia
 
Back
Top Bottom