I Inch 9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,093 Reaction score 1,365 Oct 16, 2024 #21 BigBro said: Inaonekana ni MSWAHILI sana we jamaa Click to expand... Maalim na huyu ni kabila moja na mmoja wa wale wadada wapangaji wako huwA wanamwita kaka.
BigBro said: Inaonekana ni MSWAHILI sana we jamaa Click to expand... Maalim na huyu ni kabila moja na mmoja wa wale wadada wapangaji wako huwA wanamwita kaka.
I Inch 9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,093 Reaction score 1,365 Oct 16, 2024 #22 GISAMBO said: Yani Kodi yangu aijaisha unifukuze na usinirudishiee....!khaa Hasira bila pesa kama Una imba pambio tuuh wape Chao waondoke au Kausha usitafute ugomvi Click to expand... Na huyu ni mmoja wA wapangaji wako nadhani unamfahamu.
GISAMBO said: Yani Kodi yangu aijaisha unifukuze na usinirudishiee....!khaa Hasira bila pesa kama Una imba pambio tuuh wape Chao waondoke au Kausha usitafute ugomvi Click to expand... Na huyu ni mmoja wA wapangaji wako nadhani unamfahamu.
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Oct 18, 2024 #23 Inch 9 said: Maalim huyu ni boda boda ndo anawavushia wanaume wale wadada wapangaji wako. Click to expand... 😀😀
Inch 9 said: Maalim huyu ni boda boda ndo anawavushia wanaume wale wadada wapangaji wako. Click to expand... 😀😀
A Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 605 Reaction score 1,279 Oct 18, 2024 #24 Nyumba za waislam zina masharti mengi sana kiupangaji, wanafuata utaratibu wa 'sharia' kama za saudia
Nyumba za waislam zina masharti mengi sana kiupangaji, wanafuata utaratibu wa 'sharia' kama za saudia