Sheria za notice ziko vipi??

Sheria za notice ziko vipi??

sosssy

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
668
Reaction score
537
Habari za muda huu wana JF?

Natumaini muwazimaaaaaa_

Niende tu moja moja kwenye kitu nilichokusudia kujua

Issue ipo hivii baada ya kujichanga changa saaana hatimae halmashauri yangu ya kichwa nikajishauri kuamua kufungua biashara fulani Kariakoo..

Sasa shida ipo hivi ni kwamba baada ya kuhangaika sana na madalali kutafuta fremu au mlango wa biashara hatimaye kuna sehemu moja katika jengo kubwa tu nilibaatika kupata kwakua ni madalali na sio kwamba pesa nawapa wao basi niliamua kwenda kufanya malipo kwenye office za hao wamiliki wa jengo.


Sasa shida iko hapa;
Ni kwamb aliyekuwepo kwenye hiyo fremu ni mgonjwa na mkataba wake umeisha toka tarehe 30 mwezi wa 5

Sasa kizungumkuti ni kwamba huyo jamaa anaumwa na hajafungua mwezi sasa wanadai wanashindwa kumpa notisi coz hayupo means hawajui wafanyaje hapo hapo nilishaagiza mzigo kutoka China na mizigo inakaribia kutua sasa nipo njia panda sijui nifanyeje? Naombeni ushauri wadauu

[emoji1374]
 
C uwaambie wakurudishie
Pesa yako
 
alafu kumbuka nimeshatoa pesa kwa madalal
 
Hao wanaokupangisha ndo waangaike na kuongea na huyo mpangaji anaetoka. Hata kama anaumwa lazima aseme chochote upate kuendelea na plan zako.
 
Back
Top Bottom