Sheria za uchimbaji madini

Sheria za uchimbaji madini

Chitu

Member
Joined
Aug 17, 2009
Posts
26
Reaction score
3
Hi, Tumeona kwenye Dhahabu na sasa ni zamu ya kusini kwenye gesi: Naomba msaada kama kuna mtu analink au docoments zinazoelezea sheria inayobana wawekezaji (wawe local au international) katika kulipa eneo husika au kubanwa kuleta maendeleo kutokana na faida ya kazi zao, je kuna % yeyote mwekezaji anatakiwa kulipa eneo husika? Je serikali inapoamua jambo bila kushirikisha wananchi wanawezwa buruzwa mahakani maana leo hii watu wa kusini wanapinga gesi kwenda Dar
 
Back
Top Bottom