MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 167
- 238
Nikusalimu ndugu yangu Katika utu na uzima wetu, "hakuna mfano nyuma ya mfano nyuma ya mfano Kuna Imani"
---------
Nimekuja kugundua jambo moja kubwa tu ambalo kama kundi kubwa tukilielewa basi Afrika muda si mrefu sana tunaweza kuanza kuwa watu huru.
Ulimwengu huu unaendesha mambo yake kwa sheria ya Asili, au kwa LUGHA nyepesi ulimwengu unajiendesha wenyewe kwa sheria zake kama ilivyo kwa Mwili wa kiumbe hai kama binadamu, mdudu au mmea wowote uwao na ulimwengu huu uko hivyo.
Tumepumbazwa na taarifa tulizozikuta,hatutaki kuzihoji,ukizihoji wamekutengenezea mazingira ujione ni mkosefu,usiye na NIDHAMU, Hii yote siyo bahati mbaya ni makusudi mazima Ili wewe na Mimi tuendelee kuwa bidhaa Yao vizazi vyote. Hii haikubaliki Tena.
1-Hakuna kufanikiwa kifedha bila kuzalisha,hakuna Maombi Wala nyumba ya Ibada itakupa utajiri, amka kazalishe bidhaa au huduma Ili utatue challenge ya Mwingine ( sheria)
2-Ardhi-hakuna maisha bila Ardhi acha ujinga wa kuona maisha ni kula na kulala,which unaweza kulala popote ukaridhika tu..sikia Dunia inapoenda usipokuwa na kipande Cha Ardhi Cha kuzalisha mmea wa aina yoyote Ili u-feed tumbo lako, utakuwa mtumwa Tena (Mwili ni Ardhi)bila Ardhi hakuna Mwili
3-Maji- Bila maji hakuna UHAI ,Lakini hayo hayo maji kiasili ilipaswa yawe Bure kabisa Lakini Leo ni biashara, japo Ukiwa na utimamu wa kufikiri utajisemea more than 75% ya ulimwengu huu ni maji ,why nauziwa Tena? Uchaguzi ni wako ubaki uuziwe na uende mahala ukapate maji as nature need.
4-Jua- Hakuna UHAI wa chochote bila jua, mfano Mwili wako Ukipata jua vizuri unajiponya wenyewe, je tunasubili mzungu aje ATUPE haya maarifa,usipoanza wewe ataanzisha nani? Jukumu langu la kwanza ni kujiwajibikia,lazima tuelewe Hilo.
MWISHO- matukio halisi ya historia ya ulimwengu yamefichwa, ni lazima ubaki kuwa mjinga Ili UMASKINI ukupige vizuri,ukipigwa na UMASKINI vizuri utaanza kuwatii mpka wendawazimu kwa sababu ya njaa Yako.
Think out the box, why sheria za Dunia zinakuwa Kali sana usipotekeleza? Ever you asked yourself why, wewe na ujinga wako ni bidhaa Yao lazima wailinde kwa gharama yoyote.
"Yoyote anayemiliki fasihi anaendesha kuwaza na kufikiri kwako"
DINI,SHULE,SIASA VYOTE NI FASIHI,IRUHUSU AKILI YAKO IKUWEKE HURU NA HUU MTEGO