Sheria za Ulimwengu hazijui ujinga wala umaskini wako, jipe bidii ili uwe na furaha

Sheria za Ulimwengu hazijui ujinga wala umaskini wako, jipe bidii ili uwe na furaha

Wazungu wametuficha vitu vingi sana,na vile waswahili hatupendi kusoma ndio kabisaa..japo siku hizi baadhi ya movies dizain kama wameanza kuonesha japo kidogo kile kilichofichwa ...kuna mambo zamani yalionekana kama ndoto now days ni simple tu..na soon dunia itakua ya tofauti sana..umejiandaaje?
Tushawishi mwenzetu umejiandaa,maana kesho unaweza kurudi kwenye frecuency nyingine tukakosa idea zako...only death promise
 
Hii ni open source mkuu, if you have a book about nipe nitakulipa, kama ni kujenga hoja tu mbadala basi iweke tu Hawa Wana wa ulimwengu wafaidi uwepo wako
Maji huuzwa ktk muktadha huo.
 
Bahati

Bahati nzuri sana naweza kuyasema maji Katika pande zote kwa fact but hii ilipaswa iwe hivi kutokana na context yake. Be blessed otherwise
Umewahi kununua maji ya chupa/ kulipa bill ya maji ya bomba?.
 
H
Umewahi kununua maji ya chupa/ kulipa bill ya maji ya bomba?.
Halipaswi kuwa swali Ndugu yangu..nadhani umeichukulia maada kwa upande mmoja tu..wewe na Mimi pia ni maji, anzia hapo
 
Uzi bomba kabisa.


Ndioa maana sitaki kukaa mjini.

Napenda kukaa kando ya mji huko na mifugo na kilimo huko kwa mtu mwenye akili atajifunza mengi kupitia mazingira ya asili yanayomzunguka
Wachache watakuelewa
 
Uzi bomba kabisa.


Ndioa maana sitaki kukaa mjini.

Napenda kukaa kando ya mji huko na mifugo na kilimo huko kwa mtu mwenye akili atajifunza mengi kupitia mazingira ya asili yanayomzunguka
Wachache watakuelewa
 
Nikusalimu ndugu yangu Katika utu na uzima wetu, "hakuna mfano nyuma ya mfano nyuma ya mfano Kuna Imani"
---------
Nimekuja kugundua jambo moja kubwa tu ambalo kama kundi kubwa tukilielewa basi Afrika muda si mrefu sana tunaweza kuanza kuwa watu huru.

Ulimwengu huu unaendesha mambo yake kwa sheria ya Asili, au kwa LUGHA nyepesi ulimwengu unajiendesha wenyewe kwa sheria zake kama ilivyo kwa Mwili wa kiumbe hai kama binadamu, mdudu au mmea wowote uwao na ulimwengu huu uko hivyo.

Tumepumbazwa na taarifa tulizozikuta,hatutaki kuzihoji,ukizihoji wamekutengenezea mazingira ujione ni mkosefu,usiye na NIDHAMU, Hii yote siyo bahati mbaya ni makusudi mazima Ili wewe na Mimi tuendelee kuwa bidhaa Yao vizazi vyote. Hii haikubaliki Tena.

1-Hakuna kufanikiwa kifedha bila kuzalisha,hakuna Maombi Wala nyumba ya Ibada itakupa utajiri, amka kazalishe bidhaa au huduma Ili utatue challenge ya Mwingine ( sheria)

2-Ardhi-hakuna maisha bila Ardhi acha ujinga wa kuona maisha ni kula na kulala,which unaweza kulala popote ukaridhika tu..sikia Dunia inapoenda usipokuwa na kipande Cha Ardhi Cha kuzalisha mmea wa aina yoyote Ili u-feed tumbo lako, utakuwa mtumwa Tena (Mwili ni Ardhi)bila Ardhi hakuna Mwili

3-Maji- Bila maji hakuna UHAI ,Lakini hayo hayo maji kiasili ilipaswa yawe Bure kabisa Lakini Leo ni biashara, japo Ukiwa na utimamu wa kufikiri utajisemea more than 75% ya ulimwengu huu ni maji ,why nauziwa Tena? Uchaguzi ni wako ubaki uuziwe na uende mahala ukapate maji as nature need.

4-Jua- Hakuna UHAI wa chochote bila jua, mfano Mwili wako Ukipata jua vizuri unajiponya wenyewe, je tunasubili mzungu aje ATUPE haya maarifa,usipoanza wewe ataanzisha nani? Jukumu langu la kwanza ni kujiwajibikia,lazima tuelewe Hilo.

MWISHO- matukio halisi ya historia ya ulimwengu yamefichwa, ni lazima ubaki kuwa mjinga Ili UMASKINI ukupige vizuri,ukipigwa na UMASKINI vizuri utaanza kuwatii mpka wendawazimu kwa sababu ya njaa Yako.

Think out the box, why sheria za Dunia zinakuwa Kali sana usipotekeleza? Ever you asked yourself why, wewe na ujinga wako ni bidhaa Yao lazima wailinde kwa gharama yoyote.

"Yoyote anayemiliki fasihi anaendesha kuwaza na kufikiri kwako"

DINI,SHULE,SIASA VYOTE NI FASIHI,IRUHUSU AKILI YAKO IKUWEKE HURU NA HUU MTEGO
BREAK THE RULES
 
Giza halijawahi kuwepo na halitakuwepo miele
Kuna Light mwanga huu ndio asili that's why tunasoma darasani habari za light na tabia zake ila huwezi kuusoma giza kwakuwa giza halipo yaan ukiona giza ujue mwanga umezibwa yaan giza ni absence of light huwezi kusoma giza yaan giza linatokea endapo hakuna mwanga
Mkuu sio kwamba kwenye ulimwengu huu giza ni kitu ambacho kipo ila kinacho make difference ni nuru ili kubalance na kusapoti life.

Ni sawa na ujinga na umasikini wenyewe upo tu haukuhitaji jitihada zako ili kuupata, sababu wenyewe upo tu ila kinachomake difference ni akili na ufahamu.

Uthibitisho: tunaweza zuia mwanga kwa kuweka object before chanzo cha mwanga, ila hatuwezi kulizuia giza hadi kuwe na chanzo cha mwanga.
 
Back
Top Bottom