mswele
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 687
- 417
habari wana jf bila shaka muwazima wa afya,
naomba kufahamishwa sheria inasemaje iwapo mzazi aliomba uraia wkt alishazaa hlf akapatiwa uraia kuna haja ya kumuombea na mtoto uraia au mtoto tayari ni raia?
NB. mtoto mama yake ni raia halali wa tz baba yake ndio aliomba baada ya mtoto kufikisha mwaka mmoja.
ahsanteni.