Sheria za usalama barabarani zimegawanyika katika makundi mangapi?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,346
Wakuu naomba kujua sheria za usalama barabarani zimegawanyika katika makundi mangapi?

Vile vile nataka kujua katika makundi hayo je ni sifa zipi naweza kuzizingatia nikajua umuhimu wake ninapokuwa natumia chombo cha moto.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vipi huyu jamaa kaacha mpiga mkewe? Ni vizuri pia hilo swali ungemuuliza huyo kamanda wa polisi angekujibu vizuri!

Mlandizi: Kamanda wa Polisi Mlandizi kuna kijana wa Kikurya hapa Mlandizi humpiga kila siku mke wake
Mlandizi: Kamanda wa Polisi Mlandizi kuna kijana wa Kikurya hapa Mlandizi humpiga kila siku mke wake - JamiiForums
 
Jibu unalo ww. Kwani umejuaje kama imegawanyika kwenye makundi

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Jamaa kaadabishwa sasa hivi amekuwa mtiifu na baba mzuri wa familia.

Anajidai kileta Mira za kikurya kwenye mikoa ya watu wa mataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Auz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…