Sheria zinapotungwa na watu wanaojua kusoma na kuandika bali siyo critical thinkers madhara yake huwa makubwa mbeleni

Sheria zinapotungwa na watu wanaojua kusoma na kuandika bali siyo critical thinkers madhara yake huwa makubwa mbeleni

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Bunge ni chombo muhimu kwa maslahi ya pana ya Taifa hususani katika kuweka sheria na utaratibu wa kanuni/sheria za nchi,maadili ya viongozi na usimamizi wa chama/serikali tunapofanya mzaha katika kutathmini/kuweka vigezo vya mtu kugombea nafasi za ubunge tutambue kuwa tunawasaliti na kuwaumiza wananchi/kizazi kijacho.

Sheria inahitaji uyakinifu,udadisi na utambuzi wa matukio ya mbeleni kuliko kupiga kelele za kusifu,sheria siyo nyimbo za kuabudu ila ni mzani wa kutambua na control matendo pamoja na miendendo ya michakato/watu.

Tanatambua umuhimu na haki ya upigaji na upigiwaji kura ila kitu nafasi ina daraja lake tusikubali sheria kutungwa na mtumishi/msomi hewa.

walamsiki
 
Back
Top Bottom