Sheria zinasemaje suala hili?

Sheria zinasemaje suala hili?

Mafuluto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Posts
1,861
Reaction score
859
Naomba kujua sheria zinasemaje,

Kuna uchunguzi wa polisi ulifanyika, baada ya malalamiko. Jalada likaenda kwa DPP ofisi ya Wilaya husika ambaye akaagiza, mtuhumiwa ambaye ni Mbunge ahojiwe na Polisi, na kuchunguza nyaraka zake.

Huyu Mheshimiwa anakwepa kwepa kwa kuandika barua sehemu mbalimbali ikiwemo ofisi kuu ya DPP akiwatuhumu Polisi.

Je, Polisi bado wanaweza kumkamata na kumuhoji au mpaka clearance tena ya DPP?
 
Back
Top Bottom