Sheria zipi za kufuata endapo ninahitaji kufungua duka la dawa za mifugo na vyakula vya mifugo?

Sheria zipi za kufuata endapo ninahitaji kufungua duka la dawa za mifugo na vyakula vya mifugo?

Chembu

New Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
3
Reaction score
2
Habari za muda huu mwanajukwaa.

Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata.

Ikiwa ni lesen na vyeti je ninapaswa kuwa na lesen ya aina gani? Na cheti cha aina gani? Na je ni lazima niwe nimesomea masuala ya kilimo na ufugaji?
 
Back
Top Bottom