Tatizo kubwa la utii wa sheria atika nchi za kimasikini ni kugeuzwa vyanzo vya mapato!
Vinginevyo kama kweli tunataka utii wa sheria basi utekelezaji wake utengwe mbali na tozo au malipo yoyote!
Mfano!
Vibali Vya ujenzi viwe ni BURE KABISA na vitolewe kwa wakati ikiwezekana ndani ya siku moja!
Nasema Viwe BURE kwasababu wanaotoa vibali ni waajiliwa wanamishahara yao Kwahiyo hakuja haja ya kulipana vikao kutekeleza majukumu yao!
Sheria ya Vibali iwe huru na BURE kwasababu ujenzi hauna faida Bali ni RUHUSA, Makusanyo ya fedha wachukue kwenye Kodi ya ardhi, kodi ya jengo, adhabu n.k (huko ndiko kuwepo malipo)
Mtu anaejenga hana faida na ujenzi (non profit) kinachotakiwa ni kumpanga na kuhakikisha anajenga salama kwa standard inayoelekezwa! Kumtoza pesa mtu huyu nikuifanya SHERIA ISIWE NA MAANA. (Sheria haitakiwi kuwa chanzo cha pesa)
Mifano iko mingi lakini ebu pitia mambo yafuatayo ambayo kisheria hutakiwi kabisa kuyafanya Tanzania pasipo kibali au ruhusa ya mamlaka!
1. Hutakiwi kabisa kujenga au kukarabati pasipo kibali ( ili upate kibari kuna malipo).
2. Hutakiwi kukata mti wowote nyumbani kwako pasipo kibali ( ili upate kuna malipo).
3. Hutakiwi kuchinja kitoweo chochote pasipo kibali au ukaguzi wa afsa mifugo/afya (siyo BURE).
4. Hutakiwi kabisa kuchoma takataka ya aina yoyote pasipo kibali cha NEMC (Siyo BURE).
5. nyumba yako ikiungua hutakiwi kuijenga tena bila ruhusa ya FAYA (fire arm force) (siyo BURE).
6. Ukipoteza funguo Hutakiwi kuvunja mlango au kufuli la nyumba yako bila kibali cha jeshi la polisi au mwenyekiti wa mtaa (siyo BURE) n.k.
7. Hata kama umesajiliwa Brela na TIN Hutakiwi kufanya biashara bila kibali cha manispaa! (Kuna malipo siyo BURE).
Mambo hayo ya KULIPIA UTII WA SHERIA ndiyo chanzo kikuu cha kukwamisha ufanisi katika sheria husika.
Ipo haja kubwa sana ya kutenganisha sheria na aina yoyote ya malipo ili sheria itekelezeke!
Mambo kama haya huwa yananifanya nitamani siku niingiie kwenye siasa maana YANAUMIZA SANA!
Viongozi ukiwasikiliza wanapotoa maelekezo sioni kabisa kama wanagusa matatizo ya watu!
Mfano tatizo la ajira kwa vijana! MAONI YA VIONGOZI WENGI NI KUJIAJILI Pasipo kueleza unafuu wa kujiajili!
Unamwambia mtu akajiajili wakati huko umerundika Vizingiti vya tozo na malipo katika kila hatua huyo mtu anajiajili vipi?
Ukiniuliza mimi ningekuwa kiongozi ningeshauri nini nitakujibu hivi!
Ningekuwa kiongozi ningeruhusu vyeti vya wahitimu viwe dhamana kwasababu ifuatayo!
Kama TCU wanaweza kumdhamini mtu akiwa hana kitu kwa miaka minne yote wakimsomesha takribani 5mil hadi 15mil!
Unnashindwaje kumuamini mtu huyo kumpa 1m to 3m ukashikilia tena cheti chake na NIDA yake hadi pale atakapomaliza mkopo?
NINAMENGI SANA KUISAIDIA HII NCHI SEMA NDO VILE System inapenda MBA MBA MBA MBA!