H Hamis maulid Member Joined Feb 5, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Feb 6, 2013 #1 Mimi hamis nataka kujua. je ni haki mtuumiwa anapofikishwa kituoni kuwekwa lockup bila kujieleza?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Feb 6, 2013 #2 Sio haki bwana Hamis... Lazima maelezo yachukuliwe kaunta kwanza... Labda kama ni wale wanaookolewa kutoka mikono ya "wananchi wenye hasira kali" hapo sijui chochote kuwahusu wao....
Sio haki bwana Hamis... Lazima maelezo yachukuliwe kaunta kwanza... Labda kama ni wale wanaookolewa kutoka mikono ya "wananchi wenye hasira kali" hapo sijui chochote kuwahusu wao....