Sheria

Sheria

Hamis maulid

Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Mimi hamis nataka kujua. je ni haki mtuumiwa anapofikishwa kituoni kuwekwa lockup bila kujieleza?
 
Sio haki bwana Hamis...
Lazima maelezo yachukuliwe kaunta kwanza...
Labda kama ni wale wanaookolewa kutoka mikono ya "wananchi wenye hasira kali" hapo sijui chochote kuwahusu wao....
 
Back
Top Bottom